Sunday, August 25, 2013

Video mpya ya Lucci ft jokate........Kaka na dada

icheki hapa video mpya ya Lucci ft Jokate

Man city hoi....Spur,Barca zapeta

Goli pekee lililofunga na Adriano katika dakika ya 44 lilitosha kuipa barcelona pointi tatu muhimu katika mechi dhidi ya Malaga iliyochewa katika uwanja wa Estadio La Rosaleda na hivyo kujikusanyia point 6 katika mechi mbili za la liga katika kuana harakati  za kutetea taji lao
http://footyroom.com/malaga-0-1-barcelona-2013-08/ 

Isco (left) and Neymar


Katika mechi nyingine za ligi kuu ya Uigerea maarufu kama Barclays  Premier League vijana wageni wa ligi hiyo Cardiff City wamewachabanga mabingwa wa msimu wa 2011/2012 goli 3 kwa 2 huku mabao mawili ya cardiff city yakiamisha kimiani na Frazier Campbell 79' 87' huku jingine likifungwa na Gunnarsson (60')
na mabao ya Man city yakifungwa na Dzeko (52') Negredo (90')Fraizer Campbell and Aron Gunnarsson celebrate after the third Cardiff goal
 http://footyroom.com/cardiff-city-3-2-manchester-city-2013-08


nao Totenham hotspurs wameendelea wimbi la ushindi baada ya kuwafunga Swansea City goli lililopatikana kwa mkwaju wa penati ukifungwa na Soldado  http://footyroom.com/tottenham-hotspur-1-0-swansea-city-2-2013-08/

Dillish aibuka mshindi BBA The Chase

Mshiriki kutoka Namibia "Dillish" ndio mshindi wa Big Brother Africa (the chase) alieondoka na dola 300,000 katika fainali zilizofanyika usiku huu (August 25th).
Dillish mwenye miaka 24, hajawahi kuwa head of the house hata siku moja katika siku zote 91 alizokuwa ndani ya jumba, alishawahi kuwa nominated mara 5 na mara zote alibaki kwa kura za Africa, na hajawahi kuwa na mahusiano na mshiriki yoyote.


Dillish amekuwa ni mwanamke wa pili kushinda BBA tangu ilivyoanzishwa, baada ya Cherise kutoka Zambia kushinda kwenye BBA season  7 zilizopita

katka top 5 waliobaki, alianza kutoka Beverly (Nigeria), akafatia Melvin (Nigeria) na watatu kutoka ni Elikem (Ghana) wa nne ni Cleo (Zambia) na hatimae Dillish kuwa mshindi wa BBA The Chase 2013

Elikem(24)  alipigiwa kura nyingi za kuwa "the most romantic chasemate" ambae amepata trip ya ku-spend siku tano katika hotel kali iliyoko Mombasa, Kenya, kila kitu kikiwa kime coast dola 10,000 pamoja na pesa za kutumia wakati wote akiwa huko.

kwa kuwa anatakiwa aende na mtu mwingine mmoja, Elikem amemchagua mpenzi wake Pokelo (Zimbabwe) ambae amethibitisha kuachana na boyfriend wake kwasababu ya elikem.

Washiriki wengine wote waliobaki wameondoka na zawadi ya Uhuru Tablets waendelee kuwasiliana na mashabiki zao walioongezeka kwa kazi katika acc zao za mitandao ya jamii. http://bigbrotherafrica.dstv.com/News/20995/Finale-How-Africa-Voted.html

Picha ya siku


Trailer ya FIFA14 kwa PS4 na Xbox



 icheki kwenye link hapo chini
http://www.youtube.com/watch?v=_AL1ZkIJ2zQ

coming soon...........

more detail to follow......