Goli pekee lililofunga na Adriano katika dakika ya 44 lilitosha kuipa barcelona pointi tatu muhimu katika mechi dhidi ya Malaga iliyochewa katika uwanja wa Estadio La Rosaleda na hivyo kujikusanyia point 6 katika mechi mbili za la liga katika kuana harakati za kutetea taji lao
http://footyroom.com/malaga-0-1-barcelona-2013-08/
Katika mechi nyingine za ligi kuu ya Uigerea maarufu kama Barclays Premier League vijana wageni wa ligi hiyo Cardiff City wamewachabanga mabingwa wa msimu wa 2011/2012 goli 3 kwa 2 huku mabao mawili ya cardiff city yakiamisha kimiani na Frazier Campbell 79' 87' huku jingine likifungwa na Gunnarsson (60')
na mabao ya Man city yakifungwa na Dzeko (52') Negredo (90')
http://footyroom.com/cardiff-city-3-2-manchester-city-2013-08
nao Totenham hotspurs wameendelea wimbi la ushindi baada ya kuwafunga Swansea City goli lililopatikana kwa mkwaju wa penati ukifungwa na Soldado http://footyroom.com/tottenham-hotspur-1-0-swansea-city-2-2013-08/
No comments:
Post a Comment