Sunday, August 25, 2013

Dillish aibuka mshindi BBA The Chase

Mshiriki kutoka Namibia "Dillish" ndio mshindi wa Big Brother Africa (the chase) alieondoka na dola 300,000 katika fainali zilizofanyika usiku huu (August 25th).
Dillish mwenye miaka 24, hajawahi kuwa head of the house hata siku moja katika siku zote 91 alizokuwa ndani ya jumba, alishawahi kuwa nominated mara 5 na mara zote alibaki kwa kura za Africa, na hajawahi kuwa na mahusiano na mshiriki yoyote.


Dillish amekuwa ni mwanamke wa pili kushinda BBA tangu ilivyoanzishwa, baada ya Cherise kutoka Zambia kushinda kwenye BBA season  7 zilizopita

katka top 5 waliobaki, alianza kutoka Beverly (Nigeria), akafatia Melvin (Nigeria) na watatu kutoka ni Elikem (Ghana) wa nne ni Cleo (Zambia) na hatimae Dillish kuwa mshindi wa BBA The Chase 2013

Elikem(24)  alipigiwa kura nyingi za kuwa "the most romantic chasemate" ambae amepata trip ya ku-spend siku tano katika hotel kali iliyoko Mombasa, Kenya, kila kitu kikiwa kime coast dola 10,000 pamoja na pesa za kutumia wakati wote akiwa huko.

kwa kuwa anatakiwa aende na mtu mwingine mmoja, Elikem amemchagua mpenzi wake Pokelo (Zimbabwe) ambae amethibitisha kuachana na boyfriend wake kwasababu ya elikem.

Washiriki wengine wote waliobaki wameondoka na zawadi ya Uhuru Tablets waendelee kuwasiliana na mashabiki zao walioongezeka kwa kazi katika acc zao za mitandao ya jamii. http://bigbrotherafrica.dstv.com/News/20995/Finale-How-Africa-Voted.html

No comments:

Post a Comment