Thursday, November 7, 2013

Mbeya City FC habari ya Mujini

Mbeya city habari ya mujini hata huyu ''Senga'' alikuwepo Chamazi Complex kuwashuhudia watoto wa Mbeya ...'kukajha' wamejisemea wanyakyusa

Azam FC vs Mbeya City FC katika picha





















picha,,,,kutoka....bongostaz.blogspot.com

Picha 10 za fastjet ikitua Songwe International Airport


abiria wakishuka  kutoka kwenye ndege

Songwe International Airport


Karibu Mbeya,,,,water sprash





Ikitua

Thursday, September 5, 2013

Mikononi mwa polisi ya Sugu yajirudia Bungeni

Tazama picha tatu za Mheshimiwa Sugu akitolewa bungeni........akiwa mikononi mwa polisi kama alivyoimba

askari wa bunge na wabunge wengine wakimzuia a wengine wakitaka atoke
                         

akishikilia mic
akiburuzwa atoke nje

Chanzo cha vurugu zile ni "Ukosefu wa Busara Ndogo Tuu toka kwa Naibu Spika!"
Hadhi ya KUB(kiongozi wa kambi ya upinzani) ni sawa kabisa na Waziri Mkuu, kitendo cha Naibu Spika kumzuia KUB asizungumze, kumuamuru akae chini na kisha kuamuru atolewe nje, "that was provocation kwa wapinzani wote wa kweli!", kiliwatia hasira, na kilichofuata ni actions in provocation!. Chanzo ni ukosefu wa busara ndogo tuu wa Naibu Spika!.

Laiti Mhe. Naibu Spika, angelimruhusu KUB kuzungumza na kuisikiliza hoja yake!, naamini 100% kwa 100%, yote yaliyofuatia yasingetokea!.

Bungu letu lina mapungufu makubwa na ya msingi ya kikanuni za uendeshaji mabunge ya vyama vingi!. Kiukweli kila kunapotokea vurugu bungeni, mimi huwa namkumbuka sana Mhe. Samuel Sitta!.

Kiukweli huko nyuma nimewahi kulalamikia sana uendeshaji wa bunge wa Madam Spika, Mhe. Anna Makinda, lakini sasa sasa nakiri, pamoja na mapungufu yake yote ya kibinaadamu, Mhe. Anna Makinda is better of 100 times than Mhe. Job Ndugai!. This man is a disaster!.

Weka comment........Usiku mwema

mesut ozil akiwa na mpenzi wake ambaye ni mwanamuziki wa pop nchini ujerumani

Monday, September 2, 2013

MBEYA HERE WE GO

We are proud to announce the launch of our new domestic route between Dar es Salaam and Mbeya! .....official website stated that

Over the last few months, the local government and airport authorities have worked extremely hard to make improvements to the airfield at Songwe airport, in partnership with fastjet. There have been vast improvements made to infrastructure and the runway, allowing us to land our Airbus A319 safely at Mbeya.
As a result, we are very pleased to be able to add this route to our domestic flight schedule within Tanzania!
We’ve had a huge demand from customers to add flights to Mbeya to our schedule, and we would like to thank the government, airport authorities, and all the people involved in making the necessary improvements to Songwe airport to make this new route possible.

fastjet will be flying between Dar es Salaam and Mbeya three times a week, with the first flight taking off on 1st November. Tickets will start from just TSh32,000 (excluding tax and charges). 

You can book flights on this new route now at www.fastjet.com - the earlier you book, the lower your fare! Alternatively, you can pay through mobile (m.fastjet.com) or at our fastjet sales office (+255 767 007903).  Book now and discover a new destination with fastjet today.

Mesut Ozil kupewa namba 11 Arsenal


more news to follow